CHAGUA HUDUMA AU PROGRAMU YOYOTE UNAYOTAKA.

EO GADGETS 77 | Tunazo huduma nyingi [za ubunifu] na programu tatu (3) za maarifa. Leo nitakuonyesha huduma mbili na programu moja ya maarifa ya kutengeneza graphics nzuri kwa smartphone—na kuziuza kwa wateja/wahitaji wake waliopo WhatsApp. Karibu sana.

№1. Tunatengeneza graphics kulingana na hitaji lako, kama: posters, logo, flyers, business card (softcopy) & video fupi za matangazo [kwa kutumia picha zako] [Tsh 7,000-35,000] [Angalia kwa kufungua HAPA]

№2. Tunatengeneza kalenda nzuri ya mwaka 2021; kwa kuweka picha yako moja, mbili au tatu unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo [Tsh 2,500] [Angalia mifano ya kalenda HAPA].

№3. Fahamu (maarifa) namna ya kutengeneza graphics nzuri kwa kutumia smartphone, na jinsi ya kuwahudumia wahitaji wake waliopo WhatsApp [Tsh 5,000] [Angalia posti yetu HAPA]

______________



Comments

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.