HII NDIYO SABABU NINAOMBA TUFAHAMIANE.
Rafiki, naitwa EMMANUEL KIMANISHA. Napatikana Dodoma na mtandaoni pia. Nimetambua kuwa; binadamu tunahitajiana kwenye biashara, huduma na maeneo mengine ya uzalishaji.
_________
Nimependa kufahamiana na watu tofauti tofauti—wenye mtazamo chanya[hata tukiwa mtandaoni], ili kupata nafasi za kushirikishana uwepo wa huduma au biashara za kila mmoja wetu [kwa utulivu].
__________
Na mara nyingine [inapowezekana], kushirikishana (share) maarifa na taarifa nzuri; za kuboresha vile tunavyoishi.
Nashukuru sana, ikiwa utakuwa na mtazamo mzuri katika hili. Unaweza kutaja walau jina lako tu, inbox kwangu. Asante!
___________
MATANGAZO:
—gusa (click) picha husika, kuangalia zaidi.
Maarifa yatakayokuletea matokeo mazuri kiuchumi_ukiwa popote [ANGALIA HAPA]
Unahitaji kutengenezewa graphic yoyote siku ya leo? [ANGALIA HAPA].
___________________
___________________
Comments
Post a Comment