PATA KALENDA YENYE PICHA ZAKO, LEO.
Tunakutengenezea kalenda nzuri ya mwaka 2021; kwa kuweka picha yako moja, mbili au tatu unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo.
Kwa Tsh 2,500 unaipata kalenda yako katika fomati ya PDF/picha yake origino (original) [JPG], utakayotumia wakati unapoi-print kalenda yako; stationery au studio ya picha.
Ukubwa wa kalenda unaamua wewe wakati wa ku-print.
Njoo whatsapp (0743 517 138) upate maelekezo ya kutuma picha zako.
Kalenda unaipata leo, baada ya kuipata ndipo unafanya malipo pia.
Huduma hii ni nzuri sana.
ReplyDelete