CHANGAMOTO HIZI ZINAKUZUIA USINUFAIKE KIUCHUMI?

Emmanuel Online Working Gadgets.
———————
Nilipoweza kupata njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi za Wasapu—ndani ya muda mfupi [kwa kila kikundi cha whatsapp tunachoweza kujiunga], niliamua kuwafuata inbox zaidi ya watu 10,000 [tangu mwanzoni mwa mwaka 2019] kwa ajili ya kuwauliza swali hili:
Ni mambo gani/changamoto gani kuu, zinazokuzuia usinufaike vizuri kiuchumi/kibiashara kupitia WhatsApp?

Kwa wastani nilipata kufahamu mambo makuu matatu, kupitia watu waliokubali kunijibu miongoni mwa hao. Niliamua kutafuta ufumbuzi wa mambo hayo; kisha kuuweka kwenye vitabu vya PDF na audio zilizorekodiwa. Baadaye niliamua kuwa na  vikundi vya WhatsApp pia, kwa ajili ya kuendelea kushirikisha maarifa haya.

Nilipata na kufahamu mambo makuu/changamoto kuu tatu (3):
1. Kukosa ubunifu au jambo lolote la kufanya, lenye wateja wengi na wa uhakika wanaopatikana kupitia WhatsApp.

2. Biashara/bidhaa zipo, lakini changamoto ni namna nzuri zaidi ya kuwafikia watumiaji wengi wa WhatsApp; ndani ya muda mfupi, ili wafahamu vizuri uwepo wa biashara au bidhaa zangu.

3. Mambo ya kufanya na kuingiza kipato kupitia smartphone na Whatsapp tu, yapo; kama kutengeneza na kuuza graphics, kuandika maandishi kwa ajili ya wengine mtandaoni (online typing), kufundisha kwa kuuza maarifa ya uzalishaji—kupitia WhatsApp (kwa audio, video na maandishi); lakini changamoto ni kupata namna nzuri ya kufanya mambo haya kwa ufanisi mkubwa zaidi na kupata wateja wengi waliopo WhatsApp.

Ikiwa kuna jambo moja au zaidi, ambalo ni changamoto kwako pia, kati ya hayo yaliyotajwa hapo juu, ninapenda kukueleza kuwa; changamoto hizo zina utatuzi wake, na maarifa yanayokupatia jinsi ya kuzikabili kikamilifu, yapo. Maarifa yamewekwa kwenye vitabu rahisi vya PDF na audio zilizorekodiwa. Vilevile kwa changamoto namba moja na namba mbili; kuna vikundi vya WhatsApp.

Kama utapenda kupata maarifa haya, nakukaribisha sana kwenye programu zetu za maarifa haya. Unaweza kutembelea posti yetu fupi, inayokupatia utangulizi na maelekezo muhimu kuhusu programu hizi, kwa kugusa /kufungua link iliyopo HAPA [OPEN].
•°•°•°•°•°•°•
UBAO WA MATANGAZO: fungua kwa kugusa (click) picha husika, ili kuangalia zaidi.

Comments

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.