KALENDA NZURI YENYE PICHA ZAKO [LEO].
Emmanuel Online Working Gadgets.
_____
Kalenda nzuri yenye picha zako unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo, inatengenezwa kwetu. Unatakiwa tu kutuma picha yako moja, mbili au tatu—kwa WhatsApp au baruapepe (e-mail).
Bei yetu ni TSH 2,500.
Utaipata leo kwa WhatsApp, dakika chache baada ya kutuma picha zako.
Utaipata ikiwa katika fomati ya picha yake origino (original); ili uweze kui-print huko uliko, popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery au studio ya picha).
Karibu sana (0743 517 138-whatsapp).
Hapa chini kuna baadhi ya mifano ya mwonekano wa kalenda hizi:
_________________
Comments
Post a Comment