NIMEPENDA TUFAHAMIANE KWA SABABU HII.

Rafiki, wewe ni mtu muhimu sana kwenye maisha! Ndiyo maana nimependa mno kufahamiana zaidi na watu kama wewe—hata tukiwa mtandaoni. Naitwa EMMANUEL KIMANISHA, napatikana Dodoma.  

Nimekuwa nikifanya hivyo, tangu nilipotambua kuwa sisi binadamu tunahitajiana sana katika biashara, huduma na katika mambo mengine mengi—kwenye maisha.

Kwa kufanya hivi, nimepata fursa nzuri za kushirikishana maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi; kwenye huduma, biashara na shughuli tofauti tofauti za uzalishaji. Ukipata nafasi ya dakika moja, njoo inbox kwangu WhatsApp, unitajie walau jina lako tu; ili mimi pia nisevu namba yako. Asante sana.

Kuingia Inbox kwangu moja kwa moja, wakati huu GUSA HAPA [INBOX DOOR].

_______

UBAO WA MATANGAZO:

—fungua kwa kugusa (click) tangazo husika, kuangalia zaidi.







_________

1. Tengeneza na kuuza graphics kwa smartphone [open]

2. Unawezaje kunufaika zaidi kiuchumi/kibiashara kupitia WhatsApp? [open]

3. Pata kalenda yenye picha zako leo [open]

4. Kwa nini niliwafuata watu 10,000 inbox—kwa WhatsApp? [open]

5. Unataka kufanikisha jambo gani leo? [open]

6. Andaa na kupata wateja waliopoWhatsApp kwa namna hii [open]

7. Inawezekanaje kuingiza kipato kwa smartphone na whatsapp tu? [open]




Comments

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.