MAARIFA YA UBUNIFU WENYE SOKO MTANDAONI.

Ni furaha tena, kwa wale wote tunaotaka kuanza au kuendelea kuingiza sehemu ya kipato kwa kubuni na kutengeneza graphics nzuri—kwa simujanja (smartphone), kwa ajili ya wahitaji wake waliopo WhatsApp.
Bei ya programu ya maarifa haya:
Tsh 3,500: Kitabu (PDF), Audio zote na mwongozo wa kupata link ya App inayofaa.
Tsh 5,000: Kitabu (PDF), Audio za vipengele vyote, mwongozo wa kupata link ya App inayofaa na kuwepo kwenye kikundi cha WhatsApp [Simplified Graphic Designing], bila ukomo wa muda.
_____________
Ikiwa bado hauna jambo unalofanya mtandaoni au unalo na unatamani pia kuongeza lingine, hasa hasa kupitia WhatsApp, linaloweza kukuingizia sehemu nzuri ya kipato chako; maarifa ya programu hii (UBUNIFU WA GRAPHIC NZURI KWA SMARTPHONE) yanakupa mwanzo na mwendelezo mzuri wa kufanya jambo hilo.
Utaweza kufanya ubunifu na uuzaji wa graphics kama vile: posters, flyers, business card, kalenda, makava rahisi ya vitabu na nyingine nyingi—kwa kutumia smartphone na kuwahudumia wahitaji (wateja) wake wanaopatikana WhatsApp. Graphics zinahitajika sana, na watu wengi waliopo WhatsApp ni wahitaji wa graphics. 
Jambo zuri sana katika kutengeneza na kuuza graphics kwa namna hiyo ni kwamba: wateja wanatuma maelekezo yao, kwa WhatsApp au jumbe na mawasiliano ya kawaida. Baada ya kutengeneza graphic za wateja wako, unawatumia kwa WhatsApp au baruapepe (e-mail); wakiwa kule waliko, halafu wao wanakulipa kwa mobile money kama: M-pesaHalopesaTigo pesaAirtel MoneyTTCL pesa na nyingine. 
Kwa mfano, kuna mteja anahitaji umtengenezee kalenda ya mwaka 2021, kwa kuweka picha zake. Hii ina inafanikishwa kwa urahisi huu: yeye anatuma picha zake [anazotaka ziwepo kwenye kalenda]. Anazituma kwa e-mail au WhatsApp. Baada tu ya wewe kuzipokea, unamtengenezea na kumtumia kalenda yake; ikiwa katika fomati ya PDF au picha origino (original) ya fomati ya JPG. Mteja wako atai-print kalenda yake, kule kule aliko—mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery/studio ya picha). Atakulipa kwa mobile money, au njia nyingine za kupokelea malipo mtandaoni. Huu ni mfano mojawapo mdogo, katika kufanya mambo mbalimbali; baada ya kupata maarifa ya programu hii.
BEI YETU YA KUJIFUNZA MAARIFA HAYA:
Tsh 3,500: Kitabu (PDF), Audio zote na mwongozo wa kupata link ya App inayofaa.
Tsh 5,000: Kitabu (PDF), Audio za vipengele vyote, mwongozo wa kupata link ya App inayofaa na kuwepo kwenye kikundi cha WhatsApp [Simplified Graphic Designing], bila ukomo wa muda.
————————
Kuna dokumenti yetu (PDF) fupi, ya ufafanuzi wa utangulizi, inapatikana BURE kwa WhatsApp; kwa kuipakua HAPA [Download.pdf]. Inakupa maelekezo muhimu (ya utangulizi) kuhusu programu hii. karibu sana. Uwe huru pia kuuliza lolote (0743517138) kuhusu programu hii.
___________________


Comments

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.