TUNATENGENEZA KALENDA [2021] YENYE PICHA ZAKO.


Picha zako mbili au tatu unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo, unazituma kwa WhatsApp au e-mail.
Tunatengeneza kalenda yako ndani ya dakika chache, mara tu baada ya kutuma picha zako.
Unaipataje kalenda yako? ~Baada ya kalenda hiyo kukamilika ndani ya dakika chache, wewe utaipata kwa WhatsApp/e-mail; ikiwa katika fomati ya PDF au picha yake origino (ya fomati ya JPG). Fomati hizi ndizo utakazozitumia ukiwa stationery au studio ya picha, wanapo-print picha au dokumenti za picha. 
BEI: Tsh 2,500/-
Vipi kuhusu [size] ukubwa wa kalenda hiyo, ikitolewa kwenye picha/karatasi? ~Ukubwa (size), unaamua wewe wakati wa ku-print; yaani unahitaji itolewe kwenye A4, A3, n.k.
——————
Njoo inbox kwangu, kwa kufungua HAPA [CLICK HERE], ili utume picha zako.
Sampuli zetu baadhi ni hizi hapa chini:












Comments

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.