HII NDIYO SABABU NINAOMBA TUFAHAMIANE.
Rafiki, naitwa EMMANUEL KIMANISHA. Napatikana Dodoma na mtandaoni pia. Nimetambua kuwa; binadamu tunahitajiana kwenye biashara, huduma na maeneo mengine ya uzalishaji . _________ Nimependa kufahamiana na watu tofauti tofauti—wenye mtazamo chanya [hata tukiwa mtandaoni] , ili kupata nafasi za kushirikishana uwepo wa huduma au biashara za kila mmoja wetu [kwa utulivu]. __________ Na mara nyingine [inapowezekana], kushirikishana (share) maarifa na taarifa nzuri ; za kuboresha vile tunavyoishi. Nashukuru sana, ikiwa utakuwa na mtazamo mzuri katika hili. Unaweza kutaja walau jina lako tu, inbox kwangu. Asante! ___________ MATANGAZO: —gusa (click) picha husika, kuangalia zaidi. Maarifa yatakayokuletea matokeo mazuri kiuchumi_ukiwa popote [ANGALIA HAPA] Unahitaji kutengenezewa graphic yoyote siku ya leo? [ANGALIA HAPA]. ___________________ ___________________