[VITABU & AUDIO] MAARIFA YA KUNUFAIKA KIUCHUMI KUPITIA WASAPU.
Haya ni maarifa juu ya mambo mawili; ambayo tumeyaweka kwenye audio, vitabu vya PDF (softcopy) na maelekezo ya moja kwa moja kwenye vikundi maalum vya wasapu (WhatsApp)—kwa kila programu. Maarifa haya ni:
1. Maarifa ya kuongeza upatikanaji wa wateja wa uhakika kupitia wasapu—kwa huduma au biashara yoyote uliyonayo na ile unayotaka kuwa nayo.
2. Maarifa ya kuanzisha biashara au huduma ambazo wateja /wahitaji wake wanapatikana Wasapu (Whatsapp); na hazihitaji ulazima wa muuzaji kukutana ana kwa ana na mteja.
UFAFANUZI KWA UFUPI.
# 1: Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Wa Uhakika Kupitia Wasapu.
Picha ya Kava [HAPA>CLICK HERE]
YALIYOMO (SURA TATU (3)):
SURA YA KWANZA: Namna nzuri ya kusevu namba za washirika wote wa vikundi vyote vya wasapu (WhatsApp) unavyojiunga.
SURA YA PILI: Njia bora (mpya) za kuzitumia namba nyingi ulizosevu kwa mfumo wetu kutangaza na kushirikisha biashara yako.
- (a) Utumiaji wa mbinu ya P2P Sales Prospecting—kwa namba nyingi ulizosevu.
- (b) Njia mpya ya ku-forward tangazo lako —kwa namba nyingi ulizosevu—kwa njia yetu.
- (c) Namna nzuri (mpya) ya kupata watazamaji wengi wa status zako za biashara [ndani ya muda mfupi].
SURA YA TATU: Mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja tarajiwa wasio na kikomo—kupitia wasapu.
BEI:
- Tsh 4,500 (Kitabu cha PDF pekee).
- Tsh 9,000 (Kitabu cha PDF, audio na kuunganishwa kwenye kikundi cha wasapu).
________________________________________
# 2: Kuanzisha Huduma Na Biashara Nzuri Za Bila Kukutana Ana Kwa Ana.
Picha ya Kava [HAPA> CLICK HERE]
YALIYOMO (SURA TATU (3)):
SURA YA KWANZA: Huduma nzuri unazoweza kutoa mtandaoni—kwa urahisi kupitia Wasapu.
SURA YA PILI: Mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi katika kuanzisha huduma hizi.
SURA YA TATU: Biashara nzuri ndogondogo za bila kukutana ana kwa ana— unazoweza kuanzisha na kupata wateja kupitia wasapu(WhatsApp).
BEI:
- Tsh 4,500 (Kitabu cha PDF pekee).
- Tsh 7,000 (Kitabu cha PDF, audio na kuunganishwa kwenye kikundi cha wasapu).
________________________________________
~• Kupata programu namba moja kwa wasapu au kuuliza lolote kabla, ingia inbox kwetu kwa kufungua HAPA [CLICK HERE].
~• Kupata programu namba mbili kwa wasapu au kuuliza lolote kabla, ingia inbox kwetu kwa kufungua HAPA [CLICK HERE].
_______________________________________
Comments
Post a Comment