MATANGAZO YAKO KWA KUTUMIA AUDIO—MTANDAONI.

 

• NGUVU KUBWA YA MWITIKIO—KWA MATANGAZO YA FOMATI YA AUDIO.


• MATANGAZO MAZURI YA BIASHARA NA MATUKIO KWA KUTUMIA AUDIO. 

—Je, unafahamu nguvu kubwa nzuri ya ushawishi iliyopo katika kuisikiliza audio nzuri iliyochangwa kwa ala nzuri za muziki? 

Hasa pale zinapoambatanishwa kwa kuwekwa nyuma (background) ya sauti ya mtangazaji wa tangazo husika.

EO Gadgets Designs tunakutengenezea tangazo zuri katika fomati ya audio; litakalosababisha watu kusikiliza tangazo lako kwa namna itakayowaleta kwenye mwitikio wa kuwa wateja wako.

• BEI: Tsh 2,000 /audio ya sekunde 30.

Ikiwa upo mtandaoni, unatumia wasapu na unahitaji kutengenezewa tangazo katika fomati ya audio, ingia inbox kwangu HAPA.

  • Emmanuel Online Gadgets Designs.
  • +255 743 517 138.
  • emmanuellibraries@gmail.com



Comments

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.