KWA NINI NI MUHIMU TUFAHAMIANE VIZURI?


Rafiki, naitwa Emmanuel Kimanisha. Napenda sana kufahamiana na watu wengi [mbalimbali], kwa lengo la kushirikishana uwepo wa biashara na huduma za kila mmoja wetu [kwa utulivu].

Na mara nyingine hata kushirikishana ufahamu, maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi.
_____________________________________

EO Gadgets 77; TUNAKUHUDUMIA WAKATI WOWOTE, UKIWA POPOTE—KUPITIA INTANETI:

1. Tunakutengenezea matangazo mbalimbali  kulingana na hitaji lako: Tsh 7,000 hadi Tsh 30,000 [angalia picha HAPA].

2. Tunakutengenezea kalenda ya mwaka 2021 yenye picha zako [Tsh 1,500 hadi 4,500 softcopy badala ya Tshs 6,000] [angalia picha HAPA].

3. Tunakutengenezea tangazo zuri la audio kwa kuweka ala nzuri za muziki nyuma ya sauti ya mtangazaji: Tsh 5,000-10,000/audio sekunde 30 [angalia picha HAPA].

4. Tunakusaidia kuandika kazi zako za maandishi (documents) za maelezo ya kawaida, kwa haraka; na kukutumia kazi yako softcopy [kwa e-mail au wasapu] (Tsh 350/page[angalia picha HAPA].

5. [Pata kitabu cha PDF chenye maarifa] Namna ya kuanza kuingiza sehemu ya kipato chako kwa kufundisha uzoefu au maarifa ya kipaji chako mtandaoni—kwa viwezeshi rahisi: Tsh 4,000 [angalia picha HAPA].

6. [Pata kitabu cha PDF chenye maarifa] Namna na njia rahisi ya kuanza kuuza maandishi yako mtandaoni: Tsh 2,500 [angalia picha HAPA].

7. [Pata kitabu cha PDF na audio za maarifa] Namna ya kutengeneza Graphics na kuziuza kwa wateja wengi waliopo wasapu: Tsh 4,500 [angalia picha HAPA].

••••°°°••••°°°••••°°°••••°°°••••°°°••••°°°••••
ILI KUPATA HUDUMA, PROGRAMU AU KITABU CHOCHOTE KATI YA HIVYO VILIVYOTAJWA HAPO; NJOO INBOX KWA KUFUNGUA HAPA.   
________________________________________
________________________________________
VILEVILE KUNA MAARIFA YA NAMNA NYINGINE YA KUNUFAIKA KIUCHUMI KUPITIA WASAPU [Angalia bei na mipangilio HAPA]. 

Ni programu mbili za maarifa. Kwa kila programu; kuna kitabu cha PDF (softcopy), audio na kuunganishwa kwenye kikundi husika cha wasapu; mahali ambapo unapewa maelekezo ya moja kwa moja.
Programu hizo ni:
  1. Namna nzuri (iliyopo hivi sasa) ya kuongeza upatikanaji wa wateja wa uhakika—kupitia wasapu [kwa huduma na bidhaa yoyote][mpangalio na bei yake vipo HAPA].
  2. Huduma na biashara nzuri za bila kukutana ana kwa ana—zinazowezekana kupitia wasapu


Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.