HUDUMA NA BIASHARA NZURI ZA BILA KUKUTANA ANA KWA ANA.
Maarifa haya ni msaada wa kuongeza uwezo wa kutambua na kuanzisha biashara au huduma ambazo wateja /wahitaji wake wanapatikana Wasapu (Whatsapp); na hazihitaji ulazima wa muuzaji kukutana ana kwa ana na mteja.
Yamewekwa kwenye audio za kila sura, maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi chetu cha WhatsApp (e-Businesses Via WhatsApp) na kitabu cha PDF (softcopy). Audio, kitabu na maelekezo haya yote vinapatikana kwa wasapu.
Picha ya Kava [HAPA> CLICK HERE]
YALIYOMO (SURA TATU (3)):
SURA YA KWANZA: Huduma nzuri unazoweza kutoa mtandaoni—kwa urahisi kupitia Whatsapp.
SURA YA PILI: Mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi katika kuanzisha huduma hizi.
- Rasilimali watu: watu wengi waliopo Whatsapp.
- Kifurushi cha intaneti.
- Simujanja (Smartphone).
- Muda wa kuwepo mtandaoni.
- Apps za kufanikisha kazi husika.
SURA YA TATU: Biashara nzuri ndogondogo za bila kukutana ana kwa ana— unazoweza kuanzisha na kupata wateja kupitia whatsapp.
BEI:
- Tsh 4,500 (Kitabu cha PDF pekee).
- Tsh 7,000 (Kitabu cha PDF, audio na kuunganishwa kwenye kikundi cha wasapu).
________________________________________
~• Kupata programu hii kwanzia leo kwa wasapu au kuuliza lolote kabla, ingia inbox kwetu kwa kufungua HAPA [CLICK HERE].
_______________________________________
Comments
Post a Comment