Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Wasapu.

Maarifa haya ni ya kuongeza upatikanaji wa wateja wa uhakika kupitia wasapu—kwa huduma au biashara yoyote uliyonayo na ile unayotaka kuwa nayo. 
Yamewekwa kwenye audio za kila sura, maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi chetu cha wasapu (Maximum Sales Via WhatsApp) na kitabu cha PDF (softcopy). Audio, kitabu na maelekezo haya yote vinapatikana kwa wasapu.


YALIYOMO (SURA TATU (3)):

SURA YA KWANZA: Namna nzuri ya kusevu namba za washirika wote wa vikundi vyote vya wasapu unavyojiunga.

SURA YA PILI: Njia bora (mpya) za kuzitumia namba nyingi ulizosevu kwa mfumo wetu kutangaza na kushirikisha biashara yako.

  • (a) Utumiaji wa mbinu ya P2P Sales Prospecting—kwa namba nyingi ulizosevu.
  • (b) Njia mpya ya ku-forward tangazo lako —kwa namba nyingi ulizosevu—kwa njia yetu.
  • (c) Namna nzuri (mpya) ya kupata watazamaji wengi wa status zako za biashara [ndani ya muda mfupi].

SURA YA TATU: Mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja tarajiwa wasio na kikomo—kupitia wasapu.

BEI:

  • Tsh 4,500 (Kitabu cha PDF pekee).
  • Tsh 9,000 (Kitabu cha PDF, audio na kuunganishwa kwenye kikundi cha wasapu).
_______________________________________

~• Kupata programu hii kwanzia leo kwa wasapu au kuuliza lolote kabla, ingia inbox kwetu kwa kufungua HAPA [CLICK HERE].

_______________________________________


Comments

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.