KARIBU KWENYE HUDUMA ZETU NZURI—MTANDAONI.
°•°•°• Huduma hizi tunazitoa mtandaoni—ukiwa hapo hapo ulipo—kupitia intaneti.
1. Tunatengeneza Graphics za aina nyingi kulingana na hitaji lako [Angalia HAPA].→Tsh 4,500 hadi 25,000.
2. Tunatengeneza kalenda za mwaka 2021; kwa kuweka picha zako unazotaka ziwepo [Angalia HAPA].→Tsh 1,500 hadi 4,800.
3. Tunatengeneza matangazo mazuri ya fomati ya audio [Angalia HAPA].→ Tsh 2,000 - 7,000/audio ya sekunde 30.
4. Tunaelekeza namna ya kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja miongoni mwa watu wengi waliopo whatsapp [Angalia HAPA na HAPA].
—kitabu cha PDF: Tsh 3,500.
→Angalia picha ya ukurasa wa utangulizi HAPA.
5. Tunakusaidia kuandika kazi zako za maandishi (dokuments) za maelezo ya kawaida—kwa haraka—ukiwa huko huko uliko [Angalia HAPA].→Tsh 350/ ukurasa.
→Maandishi ya maelezo ya kawaida; A4, size 14 kama kipimo cha wastani.
6. Tunaelekeza namna ya kutengeneza matangazo mbalimbali ya Graphic—kwa kutumia App nzuri iliyopo hivi sasa; jinsi ya kufanya ubunifu huo kwa kutumia smartphone—na kuwahudumia wahitaji waliopo wasapu.→[Angalia HAPA]: Tsh 4,500.
KUMBUKA: Kazi zetu unazipata katika fomati za kielektroniki (softcopy) kwa wasapu au baruapepe (email); yaani zikiwa kama: PDF, docx, fomati orijino za picha na audio. Utafanya malipo kwa mobile money kama: M-pesa, Halopesa, Tigo Pesa, T-pesa, Airtel Money n.k., baada ya kuipata kazi yako husika.
Tuwasiliane: 0743517138.
Ikiwa unatumia wasapu wakati huu, na unahitaji huduma mojawapo, ingia Inbox kwa kugusa HAPA.
★★★—MATANGAZO YA MAENEO MENGINE.
1. [POSTI] TUNAPOKUWA MTANDAONI KWA MANUFAA.
Comments
Post a Comment