Posts

Showing posts from October, 2020

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Image
Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy'  (PDF & Picha original ya jpg)  ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa  Tsh 2,000  badala ya  Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda;  ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na  kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail.  đź—ž️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing)  (stationery au photo studio)  unawapatia namba zetu  ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia...

KWA NINI NI MUHIMU TUFAHAMIANE VIZURI?

Image
Rafiki, naitwa Emmanuel Kimanisha. Napenda sana kufahamiana na watu wengi [mbalimbali], kwa lengo la kushirikishana uwepo wa biashara na huduma za kila mmoja wetu [kwa utulivu]. Na mara nyingine hata kushirikishana ufahamu , maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi. _____________________________________ EO Gadgets 77; TUNAKUHUDUMIA WAKATI WOWOTE, UKIWA POPOTE—KUPITIA INTANETI: 1. Tunakutengenezea matangazo mbalimbali  kulingana na hitaji lako:  Tsh 7,000 hadi Tsh 30,000   [angalia picha HAPA] . 2. Tunakutengenezea kalenda ya mwaka 2021 yenye picha zako [ Tsh 1,500 hadi 4,500  softcopy badala ya  Tshs 6,000 ]   [angalia picha HAPA]. 3. Tunakutengenezea tangazo zuri la audio kwa kuweka ala nzuri za muziki nyuma ya sauti ya mtangazaji:  Tsh 5,000-10,000/audio sekunde 30   [angalia picha HAPA]. 4. Tunakusaidia kuandika kazi zako za maandishi (documents) za maelezo ya kawaida, kwa haraka; na kukutumia kazi yako softcopy [kwa e-mail a...

Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Wasapu.

Image
Maarifa haya ni ya kuongeza upatikanaji wa wateja wa uhakika kupitia wasapu—kwa huduma au biashara yoyote uliyonayo na ile unayotaka kuwa nayo.  Yamewekwa kwenye audio za kila sura, maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi chetu cha wasapu (Maximum Sales Via WhatsApp) na kitabu cha PDF (softcopy). Audio, kitabu na maelekezo haya yote vinapatikana kwa wasapu. Picha ya Kava  [HAPA>CLICK HERE] YALIYOMO (SURA TATU (3)): SURA YA KWANZA:   Namna nzuri ya kusevu namba za washirika wote wa vikundi vyote vya wasapu unavyojiunga. SURA YA PILI:   Njia bora (mpya) za kuzitumia namba nyingi ulizosevu kwa mfumo wetu kutangaza na kushirikisha biashara yako. (a) Utumiaji wa mbinu ya P2P Sales Prospecting—kwa namba nyingi ulizosevu. (b) Njia mpya ya ku-forward tangazo lako —kwa namba nyingi ulizosevu—kwa njia yetu. (c) Namna nzuri (mpya) ya kupata watazamaji wengi wa status zako za biashara [ndani ya muda mfupi]. SURA YA TATU:   Mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja ta...

HUDUMA NA BIASHARA NZURI ZA BILA KUKUTANA ANA KWA ANA.

Image
Maarifa haya ni msaada wa kuongeza uwezo wa kutambua na kuanzisha biashara au huduma ambazo wateja /wahitaji wake wanapatikana Wasapu (Whatsapp); na hazihitaji ulazima wa muuzaji kukutana ana kwa ana na mteja. Yamewekwa kwenye  audio  za kila sura,  maelekezo ya moja kwa moja  kwenye kikundi chetu cha WhatsApp  (e-Businesses Via WhatsApp)  na  kitabu cha PDF  (softcopy). Audio, kitabu na maelekezo haya yote vinapatikana kwa wasapu. Picha ya Kava  [HAPA> CLICK HERE] YALIYOMO (SURA TATU (3)): SURA YA KWANZA: Huduma nzuri unazoweza kutoa mtandaoni—kwa urahisi kupitia Whatsapp. SURA YA PILI: Mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi katika kuanzisha huduma hizi. Rasilimali watu: watu wengi waliopo Whatsapp. Kifurushi cha intaneti. Simujanja (Smartphone). Muda wa kuwepo mtandaoni. Apps za kufanikisha kazi husika. SURA YA TATU: Biashara nzuri ndogondogo za bila kukutana ana kwa ana— unazoweza kuanzisha na kupata wateja kupitia whatsapp. ...

[VITABU & AUDIO] MAARIFA YA KUNUFAIKA KIUCHUMI KUPITIA WASAPU.

Image
Haya ni maarifa juu ya mambo mawili; ambayo tumeyaweka kwenye audio , vitabu vya PDF (softcopy) na maelekezo ya moja kwa moja kwenye vikundi maalum vya wasapu (WhatsApp)—kwa kila programu. Maarifa haya ni: 1. Maarifa ya kuongeza upatikanaji wa wateja wa uhakika kupitia wasapu—kwa huduma au biashara yoyote uliyonayo na ile unayotaka kuwa nayo.  2.  Maarifa ya kuanzisha biashara au huduma ambazo wateja /wahitaji wake wanapatikana Wasapu (Whatsapp); na hazihitaji ulazima wa muuzaji kukutana ana kwa ana na mteja. UFAFANUZI KWA UFUPI. # 1: Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Wa Uhakika Kupitia Wasapu. Picha ya Kava [HAPA>CLICK HERE] YALIYOMO (SURA TATU (3)): SURA YA KWANZA: Namna nzuri ya kusevu namba za washirika wote wa vikundi vyote vya wasapu (WhatsApp) unavyojiunga. SURA YA PILI: Njia bora (mpya) za kuzitumia namba nyingi ulizosevu kwa mfumo wetu kutangaza na kushirikisha biashara yako. (a) Utumiaji wa mbinu ya P2P Sales Prospecting—kwa namba nyingi ulizosevu. (b) Njia mpya ...

NAFASI YA KUMFUATA MTU INBOX KWA MANUFAA MAKUBWA.

Image
Miongoni mwa njia nzuri zitakazokuletea matokeo mazuri sana katika kutangaza biashara au huduma yako, ni kumfuata mtu Inbox. Njia hii inasaidia pia kujenga mahusiano ya uaminifu na uhuru wa mteja kukutafuta yeye mwenyewe hata kwa siku za baadae, anapohitaji bidhaa au huduma yako. Lakini kuna mambo machache ya kuzingatia, ili jambo hili liwe la manufaa kwako na kwa mtu huyo uliyemfuata inbox.  Usiingie tu na kumtumia tangazo lako, halafu unaondoka. Ukifanya hivi hautapata matokeo mazuri. Wala usiingie tu, ukamsalimia halafu ukamtumia ujumbe au tangazo lenye maelezo mengi sana kwa wakati mmoja. Nenda kwa jumbe fupi fupi kama nilivyojaribu kutoa mwongozo wa ujumla, hapa chini: Ujumbe wa kwanza: Msalimie mtu huyo, kwa ujumbe mfupi wa kwanza; mfano:  'Rafiki, habari yako!' Ujumbe wa pili: Jitambulishe kwa ufupi; kwa mfano:  'Bila shaka namba hii ni ngeni kwako, na naomba nijitambulishe kabisa. Naitwa Yavan Kim, napatikana Dar es Salaam.' Ujumbe wa tatu: Eleza mapema kule u...

MATANGAZO YAKO KWA KUTUMIA AUDIO—MTANDAONI.

Image
  • NGUVU KUBWA YA MWITIKIO—KWA MATANGAZO YA FOMATI YA AUDIO. • MATANGAZO MAZURI YA BIASHARA NA MATUKIO KWA KUTUMIA AUDIO.  —Je, unafahamu nguvu kubwa nzuri ya ushawishi iliyopo katika kuisikiliza audio nzuri iliyochangwa kwa ala nzuri za muziki?  Hasa pale zinapoambatanishwa kwa kuwekwa nyuma (background) ya sauti ya mtangazaji wa tangazo husika. EO Gadgets Designs tunakutengenezea tangazo zuri katika fomati ya audio; litakalosababisha watu kusikiliza tangazo lako kwa namna itakayowaleta kwenye mwitikio wa kuwa wateja wako. • BEI: Tsh 2,000 /audio ya sekunde 30. Ikiwa upo mtandaoni, unatumia wasapu na unahitaji kutengenezewa tangazo katika fomati ya audio, ingia inbox kwangu HAPA. Emmanuel Online Gadgets Designs. +255 743 517 138. emmanuellibraries@gmail.com

KARIBU KWENYE HUDUMA ZETU NZURI—MTANDAONI.

Image
°•°•°• Huduma hizi tunazitoa mtandaoni—ukiwa hapo hapo ulipo—kupitia intaneti.  1. Tunatengeneza Graphics za aina nyingi kulingana na hitaji lako   [Angalia HAPA]. →Tsh 4,500 hadi 25,000. 2. Tunatengeneza kalenda za mwaka 2021; kwa kuweka picha zako unazotaka ziwepo [Angalia HAPA]. →Tsh 1,500 hadi 4,800. 3. Tunatengeneza matangazo mazuri ya fomati ya audio [Angalia HAPA]. → Tsh 2,000 - 7,000 /audio ya sekunde 30. 4. Tunaelekeza namna ya kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja miongoni mwa watu wengi waliopo whatsapp [Angalia HAPA na HAPA] . —kitabu cha PDF: Tsh 3,500. →Angalia picha ya ukurasa wa utangulizi HAPA.  5. Tunakusaidia kuandika kazi zako za maandishi (dokuments) za maelezo ya kawaida—kwa haraka—ukiwa huko huko uliko [Angalia HAPA]. →Tsh 350 / ukurasa. →Maandishi ya maelezo ya kawaida; A4, size 14 kama kipimo cha wastani. 6. Tunaelekeza namna ya kutengeneza matangazo mbalimbali ya Graphic—kwa kutumia App nzuri iliyopo hivi sasa; jinsi ya kufanya ubunifu h...