TUMEPENDA KUFAHAMIANA NA WENGI ILI......
Habari yako rafiki! Nimefurahia sana kufika kwako hapa na kusoma maneno haya machache.
Naitwa EMMANUEL KIMANISHA, napatikana Dodoma. Nimependa sana kufahamiana zaidi na watu kama wewe—hata tukiwa mtandaoni. Nafanya hivyo, kwa sababu ni wazi kuwa sisi binadamu tunahitajiana katika biashara, huduma zetu au za wengine na katika mambo mengine mengi—kwenye maisha.
Kwa kufanya hivi, napata furaha na fursa nzuri za kushirikishana maarifa na taarifa nzuri —za kuboresha vile tunavyoishi. Ikiwa unatumia WhatsApp, naomba usevu namba yangu (0743517138); na ukipata nafasi ya dakika moja, njoo inbox kwangu ili nisevu namba yako pia.
------------------------------------------------
MATANGAZO YETU:
{i} Fanikisha Mpango Wako Leo—Ukiwa Popote [Angalia HAPA(1) na HAPA(2)].
{ii} Namna nzuri na rahisi ya kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp—kwa kutumia smartphone na muda wako tu [Angalia HAPA].
{iii} Namna nzuri na rahisi [iliyopo hivi sasa] ya kuongeza upatikanaji wa wateja wa uhakika [kwa biashara yoyote] kupitia WhatsApp [Angalia HAPA].
{iv} Ubunifu rahisi wa graphics nzuri—kwa kutumia smartphone na kuziuza kwa wateja wengi waliopo WhatsApp [Angalia HAPA].
{v} Chukua kalenda [2021] yenye picha zako [Angalia HAPA].
{vi} Tunaona kama wewe, tukiwa nawe—mtandaoni [Angalia HAPA].
------------------------------------------------
Comments
Post a Comment