TUNAFANIKISHA MAMBO HAYA [7] KWAKO—UKIWA POPOTE.
Kuna mambo saba (7) tunayofanya mtandaoni, kwa ajili yako ukiwa popote—kupitia intaneti. Kuna programu tatu (3) za maarifa na huduma nne (4) za uundaji wa bidhaa za kidigitali mtandaoni—kwa ajili yako.
------------------------------------------------
MAMBO [7] TUNAYOFANIKISHA :
№1. [Pata maarifa rahisi] Namna ya kutengeneza Graphics nzuri kwa kutumia smartphone na kuziuza kwa wahitaji wake wengi waliopo WhatsApp: Tsh 5,000 [angalia posti kwa kugusa HAPA].
№ 2. [Fahamu] Namna nyingine rahisi ya kuongeza upatikanaji wa wateja wa uhakika kupitia WhatsApp—kwa biashara na huduma yoyote: Tsh 9,000 [angalia posti kwa kugusa HAPA].
№ 3. [Maarifa] Namna nzuri iliyopo hivi sasa katika kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp—kwa kutumia smartphone na muda wako: Kitabu na audio→Tsh 7,000 [angalia picha kwa kugusa HAPA].
№ 4. Tunakutengenezea graphics mbalimbali kulingana na hitaji lako: posters, logo, flyers, business card (softcopy), presentation images & short image-based advertisement video clips: Kwa Tsh 8,000 hadi Tsh 35,000 [angalia picha kwa kugusa HAPA].
№ 5. Tunakutengenezea kalenda ya mwaka 2021 yenye picha zako kwa Tsh 2,500 hadi 4,500 softcopy [PDF & JPG] ya ku-print popote; huko uliko [angalia picha kwa kugusa HAPA].
№ 6. Tunakutengenezea tangazo zuri la audio kwa kuweka ala nzuri za muziki nyuma ya sauti ya mtangazaji: Tsh 10,000-35,000/audio ya sekunde 30 [angalia picha kwa kugusa HAPA].
№ 7. Tunakutengenezea biti (beat) la muziki wa injili, sifa na kuabudu; kulingana na uhitaji wako—ukiwa popote: Tsh 15,000—25,000 [Angalia posti yetu HAPA]
°•°•°•°• Unahitaji lolote katika haya tuliyoyaleta hapa? Nitaarifu kwa WhatsApp, kwa kugusa HAPA [CLICK HERE]
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Comments
Post a Comment