LEO—MPANGO WAKO MMOJA UMEFANIKISHWA.

Habari yako rafiki! EO Gadgets 77 tumefurahia sana kufika kwako hapa ili kufanikisha baadhi ya mipango yako leo [ukiwa nasi], popote ulipo—kupitia Intaneti.

Naitwa EMMANUEL KIMANISHA, napatikana Dodoma na Mtandaoni. Ninajihusisha na utoaji wa programu za maarifa na huduma tajwa hapa chini (mambo saba (7)).

------------------------------------------------

TUNAYOFANIKISHA KWA AJILI YAKO:

1. [Pata maarifa rahisi] Namna ya kutengeneza Graphics nzuri kwa kutumia smartphone na kuziuza kwa wahitaji wake wengi waliopo WhatsApp: Tsh 5,000 [angalia posti kwa kugusa HAPA].

2. [Fahamu] Namna nyingine rahisi ya kuongeza upatikanaji wa wateja wa uhakika kupitia WhatsApp—kwa biashara na huduma yoyote: Tsh 9,000 [angalia posti kwa kugusa HAPA].

3. Tunakutengenezea graphics mbalimbali  kulingana na hitaji lako: posters, logo, flyers, business card (softcopy), presentation images & short image-based advertisement video clips: Kwa Tsh 8,000 hadi Tsh 35,000 [angalia picha kwa kugusa HAPA].

4. Tunakutengenezea kalenda ya mwaka 2021 yenye picha zako kwa Tsh 2,500 hadi 4,500 softcopy [PDF & JPG] ya ku-print popote; huko uliko [angalia picha kwa kugusa HAPA].

5. Tunakutengenezea tangazo zuri la audio kwa kuweka ala nzuri za muziki nyuma ya sauti ya mtangazaji: Tsh 10,000-35,000/audio ya sekunde 30 [angalia picha kwa kugusa HAPA].

6. [Maarifa] Namna nzuri iliyopo hivi sasa katika kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp—kwa kutumia smartphone na muda wako: Kitabu na audioTsh 7,000 [angalia picha kwa kugusa HAPA].

7. Tunakutengenezea biti (beat) la muziki wa injili, sifa na kuabudu; kulingana na uhitaji wako—ukiwa popote: Tsh 15,000—25,000 [Angalia posti yetu HAPA]

°•°•°•°• Unahitaji lolote katika haya tuliyoyaleta hapa? Nitaarifu kwa WhatsApp, kwa kugusa HAPA [CLICK HERE]

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
KARIBU SANA RAFIKI.

0743517138.

emmanuellibraries@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.