KALENDA [2021] YENYE PICHA ZAKO.


Rafiki, katika ubunifu wetu wa kutengeneza kalenda yako nzuri ya mwaka 2021, yenye picha zako unazotaka ziwepo, tunazo aina mbili. Sampuli au mifano yetu ipo kwenye kurasa za mwisho.

Aina A [yenye picha zako tatu au mbili na miezi yote 12 kwenye ukurasa mmoja].

Tsh 2,000 (softcopy).

Aina B [yenye picha yako moja moja na miezi miwili miwili kwa kila ukurasa; kurasa sita, picha zako sita tofauti tofauti].

Tsh 3,500 (softcopy)/kurasa zote sita.

NB: Ukihitaji ukurasa mmoja au kurasa chache kwenye hii aina B, ni Tsh 600 (mia sita) softcopy, kwa kila ukurasa [picha moja kubwa na miezi miwili chini yake].

  • Tsh 1,200 / kurasa mbili.
  • Tsh 1,800/kurasa tatu.
  • Tsh 2,400/kurasa nne.
  • ......hadi kurasa sita ambazo ni Tsh 3,500

Kuweka siku zako maalumu za kumbukumbu yako binafsi au matukio yako; kwa kuziandikia pia kwenye orodha ya siku maalum, bei ya ukurasa huo ni Tsh 1,000.

NJOO INBOX [WHATSAPP] HIVI SASA KWA KUFUNGUA HAPA

Tunakupenda mteja wetu! Karibu!





_____________________

_____________________

MATANGAZO MENGINE:



Comments

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.