KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO.
Tunatengeneza kalenda yako nzuri ya mwaka 2021; yenye picha zako unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo [angalia sampuli, zipo chini, mwishoni].
BEI YA OFA KWA SASA:
Tsh 2,500 badala ya Tsh 4,500 (Type A).
Tsh 3,500 badala ya Tsh 5,000 (Type B)
Tuma picha zako kwa WhatsApp [kwa kugusa HAPA] au baruapepe (e-mail). Itakuwa tayari baada ya dakika chache [15-20] na kutumwa kwako. Utaiangalia kisha utafanya malipo kwa M-PESA/Halopesa au T-PESA.
_________________________
Utaipata kalenda katika fomati ya kielektroniki (softcopy), yaani picha na PDF orijino ya kalenda yako; ili uweze kuichapa (print) popote wanapofanya hivyo karibu nawe [Studio ya picha/Stationery].
_____________________________________
Tuna miundo miwili: type A na type B.
Type A: Ina ukurasa mmoja wenye miezi yote kumi na mbili (12). Unatakiwa kutuma picha yako moja, mbili au tatu; unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo. Tsh 2,500. Angalia sampuli hapo chini.
Type B: Ina kurasa sita (6). Kila ukurasa unakuwa na picha yako moja kubwa na miezi miwili chini yake. Unatakiwa kutuma picha zako sita. Tsh 3,500. Angalia sampuli hapo chini.
______________________________
Angalia sampuli hapa chini.
Comments
Post a Comment