TUNAFANIKISHA MAMBO HAYA [7] KWAKO—UKIWA POPOTE.
Kuna mambo saba (7) tunayofanya mtandaoni, kwa ajili yako ukiwa popote— kupitia intaneti. Kuna programu tatu (3) za maarifa na huduma nne (4) za uundaji wa bidhaa za kidigitali mtandaoni —kwa ajili yako. Ukiangalia hapo chini, utagundua kuwa: Namba 1 , 2 & 3 ni programu za maarifa. Namba 4 , 5 , 6 & 7 ni huduma za uundaji wa bidhaa za kidigitali —kwa ajili yako. ------------------------------------------------ MAMBO [7] TUNAYOFANIKISHA : №1 . [Pata maarifa rahisi] Namna ya kutengeneza Graphics nzuri kwa kutumia smartphone na kuziuza kwa wahitaji wake wengi waliopo WhatsApp: Tsh 5,000 [ angalia posti kwa kugusa HAPA]. № 2. [Fahamu] Namna nyingine rahisi ya kuongeza upatikanaji wa wateja wa uhakika kupitia WhatsApp—kwa biashara na huduma yoyote: Tsh 9,000 [ angalia posti kwa kugusa HAPA]. №...