TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.
Rafiki, napenda kutumia nafasi hii tena kukukaribisha kwenye mambo matatu mazuri:
1. Kutengenezewa kalenda nzuri za miaka ya 2020 na 2021 kwa bei nafuu sanà (Tsh 3,500 [bei ya ofa kwa sasa]).
—Kalenda hii itakuwa na picha zako.
—Itakuwa na maneno unayotaka wewe yawepo.
—Unanitumia picha zako (kwa e-mail) na maneno unayotaka yawepo [-kwa ujumbe wa kawaida.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
2. Maarifa rahisi ya namna ya kutengeneza picha [za graphics] za matangazo ya biashara, kalenda nzuri zenye picha unazotaka mwenyewe, logo, makava ya vitabu, mabango ya nukuu, matangazo ya matukio mbalimbali n.k—kwa kutumia App inayofanya kazi vizuri kwenye simujanja (Smartphone).
—Mafunzo yanapatikana kwa bei ya Tshs 4,500 tu.
—Katika kukuelekeza unapata kitabu [kwa whatsapp] chenye maelekezo yote, audio za kila kipengele na kukuunganisha kwenye moja ya vikundi vyetu vya whatsapp (Multifarious Knowledge House 04) kwa ajili ya kujibiwa maswali yako moja kwa moja.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
3. Ninakusaidia pia kutengeneza picha zako nzuri za matangazo ya biashara, picha za logo na utambulisho [za Whatsapp, blogu, youtube, instagram], matangazo ya matukio, business cards, makava ya vitabu na nyingine nyingi—kwa bei nafuu sana (Tsh 3,500 hadi 15,000).
—Zinakufikia kwa Whatsapp au baruapepe, katika fomati za picha au PDF ikiwa unataka kuzichapa—huko uliko.
—Utazipenda na kuzifurahia sana.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
Namba yetu iliyopo Whatsapp: 0743517138.
Au ikiwa upo hewani sasa hivi na unatumia WHATSAPP, unaweza kuja inbox kwangu moja kwa moja; kwa kugusa kwa kufungua HAPA {CLICK}.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
NAHITAJI KUFAHAMIANA NA WEWE PIA KWA NAMNA NZURI NILIYOIANDIKA HAPA [—kwenye maktaba yangu ya mtandaoni, kwa ajili yako wewe uliyefika hapa leo.]
Nitafurahi sana ukitembelea ili tufahamiane kwa namna hiyo.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
Comments
Post a Comment