PROGRAMU NA HUDUMA ZINAZOKIDHI HITAJI LAKO—POPOTE.


PROGRAMU NA HUDUMA ZINAZOKIDHI HITAJI LAKO—POPOTE.

Ninajisikia furaha na amani kubwa sana, kukukaribisha kwenye programu na huduma nzuri zinazotolewa kupitia intaneti—ukiwa popote ulipo. 

Kazi zote za huduma na programu hizi zinakufikia kwa baruapepe (e-mail) na wasapu katika fomati za kielektroniki [softcopy: PDF, Picha (original formats) na Audio]. 


Kwa baadhi ya programu; mfano programu ya pili na ya nne, kwenye orodha iliyopo hapa chini, zinahusisha pia kuunganishwa kwenye vikundi vya wasapu kwa ajili ya maelekezo na taarifa za kina—kwa programu husika.


PROGRAMU NA HUDUMA:
1. Ninadizaini picha nzuri za matangazo ya biashara, matukio, business cards, logo rahisi, makava rahisi ya vitabu n.k. (Tsh 3,500 hadi 25,000).

2. Ninafundisha namna ya kutengeneza picha za matangazo, mabango ya nukuu, kalenda, logo rahisi, makava ya vitabu, business cards n.k— kwa kutumia smartphone. (Tsh 7,000 badala ya 11,000).

3. Ninatengeneza kalenda nzuri za mwaka 2021; kwa kuweka picha unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo—na kuipata kwa wasapu na email yako. (Tsh 2,000 badala ya Tshs 4,500).

4. Ninakuunganisha na watu wengi waliopo wasapu kwenye programu ya 'COM-H' (Common Online Merchandising Home);
Ili utangaze biashara na huduma yako vizuri—kwa kuwafikia watu wengi waliopo wasapu, ndani ya muda mfupi.
—ili kujenga uhakika wa wateja wasio na kikomo—kupitia wasapu [Tsh 7,000].

Ikiwa kuna jambo unahitaji kufahamu au kuelewa vizuri zaidi, unaweza kuniuliza sasa hivi rafiki.
Karibu 🤝🏽🤝🏽🤝🏽.
MY WHATSAPP INBOX DOOR [CLICK NOW].


Comments

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.