Posts

Showing posts from December, 2020

KALENDA [2021] YENYE PICHA YAKO—TSH 600/-

Image
Kalenda hizi za miezi miwili miwili na picha moja kwa kila ukurasa; tunakutengenezea kwa Tsh 600 (mia sita) kwa ukurasa→softcopy: Inatakiwa picha yako moja, itaonekana kwa ukubwa, na miezi miwili tu, unayotaka, kwenye ukurasa husika, chini yake. Kutoa kwenye karatasi ya ukubwa wa  A4 kwenye Glossy Paper, maeneo mengi ni Tsh 1,500 hadi Tsh 2,000. Hii hata ukiitoa kwenye ukubwa wowote, mfano, kwenye A4; inaonekana vizuri mno; kwa sababu picha inawekwa kwa muonekano wa ukubwa unaoridhisha zaidi. Tuma picha yako sasa kwa WhatsApp (0743517138) au baruapepe (e-mail : (emmanuellibraries@gmail.com) hivi sasa, ukurasa wa aina hiyo utakuwa tayari ndani ya dakika sita tu. Ingia inbox kwetu kwa kufungua HAPA . Karibu sana! _____________________ _____________________ MATANGAZO MENGINE:

KALENDA [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Image
Rafiki, katika ubunifu wetu wa kutengeneza kalenda yako nzuri ya mwaka 2021 , yenye picha zako unazotaka ziwepo, tunazo aina mbili. Sampuli au mifano yetu ipo kwenye kurasa za mwisho. Aina A [yenye picha zako tatu au mbili na miezi yote 12 kwenye ukurasa mmoja]. Tsh 2,000 (softcopy). Aina B [yenye picha yako moja moja na miezi miwili miwili kwa kila ukurasa; kurasa sita, picha zako sita tofauti tofauti] . Tsh 3,500 (softcopy)/kurasa zote sita. NB: Ukihitaji ukurasa mmoja au kurasa chache kwenye hii aina B, ni Tsh 600 (mia sita) softcopy , kwa kila ukurasa [picha moja kubwa na miezi miwili chini yake]. Tsh 1,200 / kurasa mbili. Tsh 1,800/kurasa tatu. Tsh 2,400/kurasa nne. ......hadi kurasa sita ambazo ni Tsh 3,500 Kuweka siku zako maalumu za kumbukumbu yako binafsi au matukio yako; kwa kuziandikia pia kwenye orodha ya siku maalum, bei ya ukurasa huo ni Tsh 1,000. NJOO INBOX [WHATSAPP] HIVI SASA KWA KUFUNGUA HAPA .  Tunakupenda mteja wetu! Karibu! _____________________ _________...

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Image
Tunatengeneza kalenda yako nzuri ya mwaka 2021;   yenye picha zako unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo [angalia sampuli,  zipo chini, mwishoni ].  BEI YA OFA KWA SASA:  Tsh 2,500 badala ya Tsh 4,500 (Type A). Tsh 3,500 badala ya Tsh 5,000 (Type B) Tuma picha zako kwa WhatsApp [ kwa kugusa HAPA ] au baruapepe (e-mail). Itakuwa tayari baada ya dakika chache [15-20] na kutumwa kwako. Utaiangalia  kisha utafanya malipo kwa M-PESA/Halopesa au T-PESA. _________________________ Utaipata kalenda katika fomati ya kielektroniki (softcopy), yaani picha na PDF orijino ya kalenda yako; ili uweze kuichapa (print) popote wanapofanya hivyo karibu nawe [Studio ya picha/Stationery]. _____________________________________ Tuna miundo miwili: type A na type B. Type A: Ina ukurasa mmoja wenye miezi yote kumi na mbili (12). Unatakiwa kutuma picha  yako moja, mbili au tatu ; unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo. Tsh 2,500.  Angalia sampuli hapo chini. Type B: Ina kura...