TUFAHAMIANE HAPA ILI TUFANIKISHE MAMBO HAYA:


Katika biashara na huduma zako; naamini mimi ni mtu muhimu pia, ni miongoni mwa watu ambao wakifahamiana na wewe ni rahisi kununua kwako au kuhudumiwa na wewe—kuliko mtu mwingine yeyote ambaye sina mahusiano mazuri naye.

Naitwa EMMANUEL Kimanisha. Napatikana Dodoma, mara nyingine [kwa nyakati tofauti tofauti] ninapatikana pia Mbeya na Rukwa. Nimejisikia furaha na amani sana kukutana na wewe kwenye mawasiliano haya.

Sababu hasa ya mimi kukufuata ni kwamba;
—Mimi napenda sana kufahamiana na watu wengi [mbalimbali], kwa lengo la kushirikishana uwepo wa biashara na huduma za kila mmoja wetu [kwa utulivu]. 
—Na mara nyingine hata kuweza kushirikishana ufahamu, maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi. 

Napenda kutanguliza mazingira mazuri ya kufahamiana na kufahamishana.

Nitafurahi sana ikiwa utajitambulisha kwangu pia; kwa kueleza, unajihusisha na biashara au huduma gani. Vilevile hata kuhusu upatikanaji wako. 


Naomba nijitambulishe kwa ufupi sana, mengine tutaendelea kujuzana na utanijuza yale unayoona ni vyema kutambulisha kwangu; mimi ninajihusisha na utoaji wa huduma na programu zifuatazo, kwa kupitia intaneti—popote ulipo:

PROGRAMU NA HUDUMA:
1. Ninadizaini picha nzuri za matangazo ya biashara, matukio, business cards, logo rahisi, makava rahisi ya vitabu n.k. (Tsh 3,500 hadi 25,000).

2. Ninafundisha namna ya kutengeneza picha za matangazo, mabango ya nukuu, kalenda, logo rahisi, makava ya vitabu, business cards n.k— kwa kutumia smartphone. (Tsh 7,000 badala ya 11,000).

3. Ninatengeneza kalenda nzuri za mwaka 2021; kwa kuweka picha unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo—na kuipata kwa wasapu na email yako. (Tsh 2,300 badala ya Tshs 4,500).

4. Ninakuunganisha na watu wengi waliopo wasapu kwenye programu ya 'COM-H' (Common Online Merchandising Home);
Ili utangaze biashara na huduma yako vizuri—kwa kuwafikia watu wengi waliopo wasapu, ndani ya muda mfupi.
—ili kujenga uhakika wa wateja wasio na kikomo—kupitia wasapu [Tsh 7,000].

Ikiwa kuna jambo unahitaji kufahamu au kuelewa vizuri zaidi, unaweza kuniuliza sasa hivi rafiki.
Karibu 🀝🏽🀝🏽🀝🏽.
MY WHATSAPP INBOX DOOR [CLICK NOW].
Kazi zote za huduma na programu hizi zinakufikia kwa baruapepe (e-mail) na wasapu katika fomati za kielektroniki [softcopy: PDF, Picha (original formats) na Audio]. 

Kwa baadhi ya programu; mfano programu ya pili na ya nne, kwenye orodha iliyopo hapo juu, zinahusisha pia kuunganishwa kwenye vikundi vya wasapu kwa ajili ya maelekezo na taarifa za kina—kwa programu husika.


Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

KALENDA YAKO [2021] YENYE PICHA ZAKO

HAKUNA LISILOWEZEKANA KATI YA HAYA MAMBO 7.

TENGENEZA KALENDA YAKO YENYE PICHA ZAKO.