Posts

Showing posts from September, 2020

UBAO WA MATANGAZO KWENYE BLOGU YETU.

Image
•~• Tunatengeneza matangazo kwa mfumo wa picha ndogo za bendera za tovuti; tunaziweka hapa na kukupatia kopi yake , ili pia uitumie unapoandika na kushirikisha matangazo yako kwa wasapu. •~• Tunakusaidia pia kuwafikia watu wengi waliopo whatsapp; kwa kushirikisha tangazo lako kwa watu walio kwenye programu yetu ya COM-H. •~• Bei yetu ni Tsh 3,500 kwa tangazo la namna hiyo. •~• Ikiwa unahitaji kufahamu pia kuhusu programu ya COM-H, angalia hapa 👇👇 [KWA KUGUSA HAPA AU PICHA HII]. ............................................................................. MATANGAZO YETU: ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Marrifa Mengi Mazuri Mtandaoni.   https://mamem3.blogspot.com/2020/09/maarifa-mengi-mazuri-mta...

OFA KUBWA: YA TSH 2,000 NDANI YA MASAA 24.

Image
TSH 2,000 BADALA YA TSH 4,500 JE, unafahamu kuwa hivi sasa kuna App nzuri na rahisi kuitumia katika kutengeneza GRAPHICS kwenye smartphone yako? —•••—•••—•••— Utaanza kutengeneza  flyers, posters, business card, logo rahisi, Invitation card, kalenda na nyingine nyingi;  ndani ya muda mfupi kuliko ulivyodhani—kwa kutumia smartphone yako tu. Ukitaka kuwahudumia watu wengi waliopo wasapu; ni rahisi pia. Utawatengenezea Graphics hizo na kuwapa katika fomati za picha na PDF halafu wao wanakulipa kwa  M-pesa, T-Pesa, Halopesa, Tigo Pesa, Airtel Money  n.k wakiwa kule waliko. Leo ninakupa  kitabu changu chenye maelekezo  yote kwa msaada wa picha na maelezo rahisi sana, bila kusahau  link ya kuipakua App hiyo  leo leo; moja kwa moja playstore kwenye smartphone yako—na kuanza kuitumia leo leo. Leo ni ofa inayodumu ndani ya masaa 24 tu. Utapata kitabu hicho [cha PDF kwa wasapu] na link ya App hiyo; kwa Tsh 2,000 tu badala ya Tsh 4,500. KABLA...

MAHALI PA KUPATA NA KUTUMA LINK ZA VIKUNDI VYA WASAPU.

Image
HAPA NI MAHALI UNAPOWEZA KUOMBA LINK YA KIKUNDI CHA WASAPU UNACHOTAKA LAKINI PIA KUSHIRIKISHA LINK YA KIKUNDI CHAKO. HAPA CHINI NI VIKUNDI MBALIMBALI VYA WASAPU UNAVYOWEZA KUJIUNGA, KULINGANA NA AINA YA KIKUNDI UNACHOHITAJI. VIKUNDI VYA WASAPU UNAVYOWEZA KUJIUNGA HIVI SASA: 1• Maarifa Mengi Mtandaoni (mamem3) https://chat.whatsapp.com/JwyCRcLALyDLfVEwzeXjP 0 2• Whatsapp Groups' Links Sharing Platform https://chat.whatsapp.com/KXbzOKcxOf51t3XL2exqxT Vikundi vingine ni: 1••• ROAD TO UNIVERSITY. https://chat.whatsapp.com/KheBC9lD2znF0ilsZ2vNng 2••• FLOVIE ONLINE STORE. https://chat.whatsapp.com/B6dLIpgPDpF9mbsjOOKX0d 3••• F.O.R 2 https://chat.whatsapp.com/G4qMkCOLKua9RCQQSR8cxJ 4••• 6000/SIKU 2. https://chat.whatsapp.com/KV3IQ7gm5KrKbxAFoUePVm 5••• IRINGA, DODOMA MBEYA BUSINESS. https://chat.whatsapp.com/HCPvdf3fxzeD71RVBWZtui 6••• ALA ZA INJILI AFRIKA. https://chat.whatsapp.com/DzF1vHBtcSO7UrDlPom4aL 7••• MAKAMBAKO MJI BUSINESS. https://chat.whatsapp.com/E...

TUFAHAMIANE HAPA ILI TUFANIKISHE MAMBO HAYA:

Image
Katika biashara na huduma zako; naamini mimi ni mtu muhimu pia,   ni miongoni mwa watu ambao wakifahamiana na wewe ni rahisi kununua kwako au kuhudumiwa na wewe—kuliko mtu mwingine yeyote ambaye sina mahusiano mazuri naye. Naitwa   EMMANUEL Kimanisha.   Napatikana Dodoma, mara nyingine [kwa nyakati tofauti tofauti] ninapatikana pia Mbeya na Rukwa. Nimejisikia furaha na amani sana kukutana na wewe kwenye mawasiliano haya. Sababu hasa ya mimi kukufuata ni kwamba; —Mimi napenda sana kufahamiana na watu wengi [mbalimbali], kwa lengo la kushirikishana uwepo wa biashara na huduma za kila mmoja wetu [kwa utulivu].  —Na mara nyingine hata kuweza kushirikishana ufahamu, maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi.  Napenda kutanguliza mazingira mazuri ya kufahamiana na kufahamishana. Nitafurahi sana ikiwa utajitambulisha kwangu pia; kwa kueleza, unajihusisha na biashara au huduma gani. Vilevile hata kuhusu upatikanaji wako.  Naomba nijitambuli...