CHUKUA KALENDA [2021] YENYE PICHA ZAKO.
Tunatengeneza kalenda yako nzuri ya mwaka 2021 , kwa kuweka picha zako mbili au tatu unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo: Tsh 2,500 [bei punguzo ya muda mfupi]. Kalenda hii utai-print huko uliko, mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery/studio ya picha). Unachotakiwa kufanya sasa ni kutuma picha zako mbili au tatu, kwa wasapu (0743 517 138) au e-mail (emmanuellibraries@gmail.com) Dakika chache baadaye, kalenda yako itakuwa tayari na itatumwa katika fomati ya PDF na picha yake original kwa WhatsApp, leo leo. Baada ya kuiangalia, utafanya malipo. Karibu sana rafiki. Angalia mifano ya kalenda zetu hapa chini: Sampuli ya kwanza, gusa hapa[1] Sampuli ya pili, gusa hapa [2] Sampuli ya tatu, gusa hapa [3] ______________________________________ ______________________________________ MATANGAZO YETU MENGINE: Umuhimu wa kufahamiana na wewe hata tukiwa mtandaoni [gusa hapa]. Sehemu ya uchumi wetu tunapokuw...